Wasia Wa Mnazi

200.00KSh

Wasia wa Mnazi ni hadithi ya ajabu kuhusu nazi iliyotokea ufukweni. Bila wakaaji wa ufukweni kujua hiyo nazi ilikuwa ‘dunde’ gani, waliidhulumu na nusra waiangamize. Kimuujiza, nazi iliweza kuwaonya dhidi ya dhuluma yao. Baadaye ilichipuka na kuwa mnazi uliotangamana na wakaazi. Mnazi huu uliwapa wenyeji wasia kuhusu jinsi ya kunufaika kutokana na mnazi wenyewe.

Category: