MIAKA HAMSINI YA KISWAHILI NCHINI KENYA

500.00KSh

Miaka Hamsini ya Kiswahili Nchini Kenya ni mkusanyiko wa makala yaliyowasilishwa katika kongamano la kimataifa la Kiswahili lililoandaliwa  na Chama Cha Kiswahili cha Taifa (CHAKITA) mwaka 2013, na likafanyika katika chuo kikuu cha Kikatholiki cha Afrika Mashariki (CUEA). Makala chache zimatokana na kongamano la mwaka 2012 lililofanyika katika Chuo kikuu cha Kenyatta.  

Category:

Description

Miaka Hamsini ya Kiswahili Nchini Kenya ni mkusanyiko wa makala yaliyowasilishwa katika kongamano la kimataifa la Kiswahili lililoandaliwa  na Chama Cha Kiswahili cha Taifa (CHAKITA) mwaka 2013, na likafanyika katika chuo kikuu cha Kikatholiki cha Afrika Mashariki (CUEA). Makala chache zinatokana na kongamano la mwaka 2012 lililofanyika katika Chuo kikuu cha Kenyatta.

Kitabu hiki kinadhihirisha umuhimu wa lugha ya Kiswahili katika Nyanja mbalimbali za jamii. Kwa hiyo, utapata humu ndani makala yanayoangazia ufundishaji wa lugha ya Kiswhaili; fasihi ya watoto katika Kiswahili; na athari za Sheng kwa Kiswahili. Kwa ufupi makala yaliyomo humu yanashadidia maendeleo ya Kiswahili katika miaka iliyopita nchini Kenya.

Hiki ni kitabu muhimu sana kwa wanafunzi na walimu wa Kiswahili. Pia ni kitabu kitakacho mnufaisha yeyote anayependa Kiswahili na anayetambua mchango wake katika jamii.