KISWAHILI NA UTAIFA NCHINI KENYA

500.00KSh

Baada ya vurugu la kisisasa la 2007/2008, ilidhihirika wazi kwamba pana haja ya Kuimarishautangamano na Utaifa nchini kenya. Kenya imekua ikiimarisha dola lakini viongozi wake bado hawajaonekana kujitolea ili kujenga utangamano ni kupitia lugha ya taifa.

Category:

Description

Baada ya vurugu la kisisasa la 2007/2008, ilidhihirika wazi kwamba pana haja ya Kuimarishautangamano na Utaifa nchini kenya. Kenya imekua ikiimarisha dola lakini viongozi wake bado hawajaonekana kujitolea ili kujenga utangamano ni kupitia lugha ya taifa. Chama cha Kisawahili cha Taifa (CHAKITA) kinatoa mchango wake katika kitabu hiki ilikuelekeza taifa la Kenya namna linavyoweza kutumia lugha ya Kiswahili ili kujenga utaifa na kuimarisha haki ya kijamii miangoni mwa wananchi